Wednesday, 31 January 2018

FAIDA ZA KUTUMIA MATANGO




1.Kuupatia mwili maji ya kutosha
Kwa wale ambao ni wavivu au wako busy sana hata kupata muda wa kunywa maji ya kutosha inakuwa ngumu,Tafuta matango ya baridi ambayo asilimia tisini ni maji,Yatasaidia kurudisha maji yaliyopotea mwilini

2.Husaidia kupambana na joto kali ndani na nje ya mwili
Kula tango husaidia kupunguza joto kali ndani ya mwili(heartburn) na pia kupaka kwenye ngozi kutakusaidia kpunguza kuungua na jua
3.Huondoa sumu mwilini(toxins)
Maji yaliyopo kwenye matango huwa kama fagio ambalo linasafisha uchafu wote ndani ya mwili,Ulaji wa matango mara kwa mara huyeyusha mawe kwenye figo(dissolve kidney stones)
.
4.Husaidia kuongeza vitamin ndani ya mwiili A B n C
Vitamin A,b na C huoneza kinga ya mwili na kukupatia nguvu za kutosha,Unaweza kutengeneza juice ya tango ukichanganya na spinach pamoja na karoti kuifanya nzuri na yenye nguvu Zaidi,vitamin c ni nzui kwa ngozi asilimi 12 inashauriwa

5.Matango yana madini ya potassium ,magnesium na silicon kwa wingi ndio maana yanafaa katika tiba

6.Yanasaidia katika umeng’enyaji na kupuguza uzito

Matango kwa sababu ya maji mengi na low carlories ni mazuri kwa kupunguza uzito,pia kutokana na fiber zilizpo zitafanya mmeng’enyo wako uende taratibu,,Ulaji wa matango mara kwa mara husaidia kuondoa tatizo la kupata choo

7.Husaidia sana kusafiha macho
8.Juice ya matango inatibu na kuondoa harufu mbaya kweny fizi zllizodhofika na magonjwa
Chukua kipande cha tango na ubonyezee kwenye ukuta wa mdomo wako kwa ulimi wako kwa muda wa dakika moja,pythochemicals ambazo zipo kwenye tango zitaua bacteria waliopo mdomoni mwako ambao wanasababisha harufu mbaya

9.Maajabu ya madini ya silica yaliyopo kwenye tango yatafanya nywele zako na kucha kung’aa na kuwa imara Zaidi

10.Matango yanaongeza afya ya joint zako na kuondoa maumivu ya kwenye magoti na arthritis

Kwa maana yana silica nyingi yanapochanganywa na karoti kutengeneza juice yanaondoa maumivu ya magoti kwa kushusha level ya uric asidi

11.Inatibu kabisa hangover
Kuepuka kuumwa kichwa asubuhi au hangogver unaweza ukatafuna vipande kadhaa vya matango kabla ya kwenda kulala,Matango yana vitamin B ya kutosha ,sukari na electrolyte ambayo inalishe za muhimu ambaz zinasidia kuondoa hangover na maumivu ya kichwa

12.Matango yanasaidia figo kuwa katika umbo lake halisi
Matango yanasaidia kushusha level ya uric aside na kufanya figo kuwa na afya

13.Yanasaidia kupambana na kansa
Matango yana secoisolariciresinol,lariciresinol na pinoresinol,vitu hivi vitatu husaidia kupambana na kansa ya titi,kansa ya mfuko wa uzazi,tezi dume, na kansa ya yai la kike(ovarian)

14.Husaidia kutibu kisukari,kupunguza lehemu na kudhibiti presha
Matango  yana hormone inayohitajika na kongosho kwa ajili ya kuzalisha insulin, na pi yana compound(muunganik wa kikemikali) inayoitwa sterol ambayo husaidia kudhibiti presha,Pia matango yana madini ya potassium na magnesium na fiber ,vit hivi husaidia kudhibiti presha
Hii ndio sababu matango ni mazuri kutibu presha ya kushuka na presha ya kupanda

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!