Wednesday 20 December 2017

MTOTO WA MIAKA MIWILI NA NUSU ABAKWA KISIWANI PEMBA.

Picha hii haihusiani na habari husika

Nafikiri Serikali, wanajamii, sekta binafsi na wanaharakati Sasa waungane kWa pamoja kutafuta chanzo Cha vitendo vya kikatili ambavyo vimezidi kuchukua nafasi Katika KISIWA Cha Pemba.

 Imekuwa Ni matukio ya kila wakati, nimesikitika kupata Habari ya Mtoto wa miaka miwili na Nusu ambaye amebakwa na Kijana wa miaka 15
Lakini Sio tukio Hilo Tu Watoto wenyewe kwa wenyewe wanalawitiana Watoto hao Ni kuanzia miaka 10- 12 Je Watoto Hawa wamefunzwa na nani Kama Sio kwamba kipo kikundi Cha Watu kinachoharibu Watoto wetu? Jamani hali Ni Mbaya! Haya kuna Watoto wanaolawitiwa KWa hiyo nashindwa kuelewa kwamba kuna siri gani?
Nimefikia hatua ya kusema Sasa Haya Sio mambo ya kuripoti Tu Kwenye chombo Cha Habari bali Sasa Jamani Jamii mufahamu kwamba kila Mtanzania anapaswa kupigia kelele hili, Leo tunaona Pemba kesho tutasikia kwingine na Sio kwamba hayapo! Yapo PIA ila mambo kuzidiana Labda.
Shime Wananchi tuungane!

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!