Wednesday, 13 December 2017
Crochet braids for kids
Ushauri wa bure: msuke mtoto wako nywele rahisi zisiwe na makorokoro mengi, Usisuke ukazikaza sana kwani huweza kumsababishia mtoto kuumwa na kichwa, Kingine zaidi msuke mitindo ya kitoto maana kuna watoto wengine wanasukwa nywele kama watu wazima, matokeo yake mtoto anapoteza mwoekano na urembo wake asilia kama mtoto. ACHA MTOTO AWE MTOTO!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment