Habari ambazo zilishtua kutokea mkoani Kagera mapema leo ilikuwa ni tukio la kitu kinachodhaniwa kuwa bomu kulipuka katika Shule ya Msingi Kihinga iliyopo Kijiji cha Kihinga wilayani Ngara na kujeruhi zaidi ya wanafunzi 40 ambao walikimbizwa katika Hospitali ya Rulenge kwa matibabu zaidi.
Picha zote Kwa hisani ya MillardAyo.com
No comments:
Post a Comment