Tuesday, 7 November 2017
Hashim Rungwe: Mlininyima kura za urais, njaa inayowakabili na iwatafune
Hii ni kauli ya mh Rungwe, ngoja njaa iwatafune watanzania, wala wasimlilie mtu, wajililie wao na watoto wao, wamekuwa wakidanganywa miaka nenda rudi, hawajielewi, wakishakosea, wanakimbilia wasaidiwe na vyama vya upinzani, tumeona hili kwa waandishi wa habari, waligoma katakata kurusha habari za wapinzani kwenye TV zao, magazeti, sasa wanalia, acha njaa iwatafune, huko mbele watajifunza hasa hasa.
2020
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment