Monday, 13 November 2017

BREAKING: Mahakama kuu yamuhukumu Lulu kwenda Jela miaka miwili

Image result for lulu elizabeth
ambayo Mahakama Kuu Tanzania ilikua inasubiriwa kutoa hukumu ya kesi ya kifo cha Mwigizaji Steven Kanumba ambayo ilikua inamkabili Mwigizaji Elizabeth Michael “Lulu” ambae alikua mpenzi wake.
Mahakama kuu ya Tanzania imemuhukumu Mwigizaji huyo kwenda jela miaka miwili kufuatia kesi iliyokua ikimkabili ya kumuua bila kukusudia Mwigizaji Steven Kanumba.




KWA HISANI YA MILARDAYO.COM

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!