ZANZIBAR: Rais John Magufuli amesema takribani Watumishi 59,967 wataanza kuongezewa mishahara na kupandishwa madaraja kuanzia mwezi ujao.
- Rais akaongeza kuwa kabla ya Watumishi kudai nyongeza ya mishahara ni lazima kwanza wafahamu uwezo wa Serikali.
No comments:
Post a Comment