Friday, 13 October 2017
Sheikh Ponda ameripoti Kituo Kikuu cha Polisi leo, asindikizwa na jopo la wanasheria
DAR: Sheikh Ponda aripoti Polisi kama alivyotakiwa kufanya ndani ya siku 3. Aambatana na Wanasheria wakiongozwa na Profesa Safari.
Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum Dar, alimtaka Sheikh Ponda kufika Kituo cha Polisi kwa tuhuma za uchochezi na kuikejeli Serikali.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment