Rais Magifuli “Sikuja kuuza sura nilipendwa na mke wangu inatosha”
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli leo Jumanne ya October 3 2017 alikuwa katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere (JNICC) na kuhutubia katika uzinduzi wa mkutano Mkuu wa 33 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa.
No comments:
Post a Comment