Tuesday, 26 September 2017

Waziri wa afya Maendeleo ya Jamii Jinsia wazee na watoto amepiga marufuku Hospitali ya Taifa Muhimbili kutoa rufaa kwenda nje

Image may contain: 1 person, smiling
Waziri wa afya Maendeleo ya Jamii Jinsia wazee na watoto amepiga marufuku Hospitali ya Taifa Muhimbili kutoa rufaa kwenda nje ya nchi ikiwa wana uwezo wa kutibu maradhi husika hapa nchini.


Ummy amesisitiza wataalamu kutowaogopa wanasiasa na ikiwa wana uwezo wa kumtibu mgonjwa hapa nchini haina ulazima wa kumwandikia rufaa nje ya nchi.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!