Saturday 23 September 2017

Plus size dresses!


Wengi wetu tunahangaika jinsi ya kuvaa, hasa ukiwa na umbo kubwa, unaona kama hupendezi kwa baadhi ya mavazi, hapa muhimu si kujuta ila ni kupambana na umbo lako, angalia nguo zinaoendana na umbo lako, kwamfano wengi wetu, tunamatumbo makubwa, au shepu yako haijakaa kiviile,usitake kulazimisha nguo ya kukuonyesha umbo sana, vaa nguo pana ikupe nafasi, na kukunogesha! 
























No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!