Wananchi wakishuhudia zoezi la uopoaji wa miili ya watoto wawili
ARUSHA: Watoto 2 kati 4 ya waliotekwa wamepatikana wakiwa wamefariki dunia katika shimo la choo ambalo bado halijaanza kutumika.
- Inadaiwa kuwa mtekaji aliwatumbukiza ndani ya shimo hilo wakiwa hai kabla ya kuondoka na kuelekea Geita ambapo alikamatwa na kusema walipo watoto hao.
Inna lillah wainna illah rajiun.CHANZO:JMF
No comments:
Post a Comment