Friday 1 September 2017

Mahakama ya Juu nchini Kenya yafutilia mbali ushindi wa Rais wa Kenyatta na kuamuru uchaguzi wa rais kufanywa upya katika siku 60 zijazo.

Mahakama ya Juu nchini Kenya yafutilia mbali ushindi wa Rais wa Kenyatta na kuamuru uchaguzi wa rais kufanywa upya katika siku 60 zijazo. 

Waislamu kote ulimwenguni washerehekea Sikukuu ya Eid al Adha. Mjadala wa kipekee katika runinga kati ya wagombea ukansela nchini Ujerumani Merkel na Schulz wasubiriwa Jumapili. Umoja wa Mataifa wasema Warohingya 38,000 wamekimbia vita kutoka Myanmar kuelekea Bangladesh. Papo kwa Papo 01.09.2017

No comments:

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!