Saturday, 9 September 2017

Diamond Platnumz kwenye instagram ya Rick Ross


Rapa Rick Ross amepost kwneye Instagram yake picha ya msanii wa Bongo FlevaDiamond Platnumz akiwa na kinywaji cha Belaire kama alivyofanya hivi karibuni na mwanadada maarufu kutoka Kenya Huddah The Boss Chick.


Ujumbe kwenye Picha ya Diamond katika Instagram ya Rick Ross ulisema ‘ #SelfMade tastes better @DiamondPlatnumz x @OfficialBelaire#BBB #biggest’

CRD:SAMMISAGO

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!