Tuesday, 15 August 2017
WANAFUNZI WATATU WA LUCKY VINCENT WANATARAJIA KUWASILI NCHINI WIKI HII
Hatimaye wanafunzi watatu wa Shule ya Msingi ya Lucky Vincent mkoani Arusha waliojeruhiwa katika ajali ya basi lililoua wenzao 32, Mei 6, mwaka huu, wanatarajia kuwasili nchini Ijumaa saa 3 asubuhi kutoka Marekani walikokuwa wakipata matibabu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment