Friday, 11 August 2017

Uhuru Kenyatta amefanikiwa kutetea kiti chake cha Urais kwa muhula wa pili

Image may contain: 1 person, smiling, suit
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amefanikiwa kutetea kiti chake cha Urais kwa muhula wa pili baada ya kupata kura 8,203,290.
-Uhuru amembwaga mpinzani wake mkuu, Raila Odinga ambae muungano wake wa upinzani wamesusia matokeo hayo.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!