Tajiri namba moja wa dunia Mmarekani Bill Gates ameitembelea tena Tanzania ambapo picha zake zimeanza kusambaa akiwa kwenye ziara Muheza Tanga ambako amekutana na Mbunge pamoja na wadau mbalimbali.
Naambiwa kwenye ziara hiyo ya Tanga Bill Gates alikua anafatilia maswala mbalimbali ya afya ikiwemo utumiaji wa dawa za mabusha, matende na n.k na kuangalia ni namna gani anaweza kusaidia kwenye sekta hiyo ya Afya.
Picha zote kwa Hisani ya MillardAyo.com
No comments:
Post a Comment