Uzito mkubwa/kitambi ni mojawapo ya matatizo makubwa yanayokabili watu wengi duniani. Yafuatayo ni baadhi ya madhara ambayo husababishwa na uzito mkubwa(unene/kitambi)
☆Kuongezeka kwa Shinikizo la damu
☆Ugonjwa wa Kisukari
☆Matatizo ya viungo
☆Kutopata usingizi vizuri
☆Kuongeza kwa mafuta katika mishipa ya damu
☆Kansa mfano kansa ya maziwa
Kiharusi(stroke)
☆Maradhi ya ini
☆Ugonjwa wa Kisukari
☆Matatizo ya viungo
☆Kutopata usingizi vizuri
☆Kuongeza kwa mafuta katika mishipa ya damu
☆Kansa mfano kansa ya maziwa
Kiharusi(stroke)
☆Maradhi ya ini
No comments:
Post a Comment