Thursday, 10 August 2017

Breaking News: Majambazi 13 wauawa Kibiti, wakutwa na Bunduki 8 pamoja na Pikipiki 2

IMG_20170810_152804.jpg
KIBITI, PWANI: Watu 13 wanaodaiwa kuwa wahalifu wameuawa na Polisi. Wakutwa na bunduki nane, pikipiki mbili pamoja na begi moja la nguo.
Tukio hilo limetokea eneo la Tangibovu Kijiji cha Milaweni kilichopo tarafa ya Kibiti



Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Operesheni Maalumu za Jeshi la Polisi, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Liberatus Sabas kuhusiana na tukio la kuuawa wahalifu 13 katika majibizano ya risasi baina ya Polisi na wahalifu hao katika eneo la Tangibovu, Kijiji cha Miwaleni Kata ya Mchukwi, Tarafaya Kibiti.Chini ni silaha 8 aina ya SMG pamoja na vifaa vingine zilizopatikana katika majibizano hayo.
IMG_20170810_152753.jpg
IMG_20170810_152608.jpg
IMG_20170810_152613.jpg

Chanzo: Jeshi la Polisi Tanzania(Ukurasa wa Twitter)

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!