Kitenge Maxi ni mshono unakuongezea urembo, ukizingatia Maxi ndio mshono uliorudi kwa kasi katika ulimwengu wa fashion, Mshono wa Maxi ulitamba sana miaka ya nyuma,Miaka ya 70. Enzi hizo Maxi ilivaliwa kwa wanawake wa umri mbalimbali wazee kwa vijana, Nimegundua kwamba Kitenge kinapendeza sana kushonwa katika mtindo wa Maxi.'
Thursday, 6 July 2017
Kitenge Maxi Dresses!
Kitenge Maxi ni mshono unakuongezea urembo, ukizingatia Maxi ndio mshono uliorudi kwa kasi katika ulimwengu wa fashion, Mshono wa Maxi ulitamba sana miaka ya nyuma,Miaka ya 70. Enzi hizo Maxi ilivaliwa kwa wanawake wa umri mbalimbali wazee kwa vijana, Nimegundua kwamba Kitenge kinapendeza sana kushonwa katika mtindo wa Maxi.'
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment