Kupitia Instagram yake asubuhi hii Zari amethibitisha kifo cha mama yake akiandika>>>”Kwa huzuni kubwa mimi na familia yangu tunatangaza kifo cha mama yetu mpendwa aliyefariki asubuhi hii. Roho yake ilazwe pema, Allah akisamehe dhambi zako na akujaaliye Jana. Tutakupenda zaidi, sisi kama watoto wako tulipewa kilicho bora kutoka kwa Mungu kama mama yetu. Tunathamini yote uliyotenda kwetu. Tutakuthamini daima Mama. Lala salama”
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment