Tuesday, 20 June 2017

Ukusanywaji wa kodi ya majengo

Image may contain: house, sky and outdoor
“Ukusanywaji wa kodi ya majengo uliopendekezwa kwa kiwango maalum (flat rate) cha shilingi elfu kumi (10,000) kwa nyumba na shilingi elfu hamsini (50,000) kwa nyumba za ghorofa kwa kila ghorofa utafanyika katika Mamlaka za Majiji, Miji na Miji Midogo pekee na utahusisha majengo ya kudumu yaliyojengwa kwa saruji au tofali za kuchoma na kuezekwa kwa bati.
Utaratibu hautohusisha Vijiji, nyumba zilizojengwa kwa tope na kuezekwa kwa tembe au nyasi lakini pia hautohusisha wazee wenye zaidi ya miaka 60 wanaoyatumia majengo husika kama makazi yao wenyewe”.
Dkt Philip Mpango-Waziri Fedha na Mipango

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!