Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa katika foleni ya kunawa na kisha kuchukua chakula leo Jumatano Juni 21, 2017 katika futari aliyowaandalia wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha ambayo ilihudhuriwa pia na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeiry pamoja na viongozi wengine wa dini, serikali, vyama na watoto wanaolelewa kwenye vituo mbalimbali vya yatima mkoani humo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akichukua chakula leo Jumatano Juni 21, 2017 katika futali aliyowaandalia wananchi wa mkoa wa Pwani futari katika Ikulu ndogo ya Kibaha ambayo ilihudhuriwa pia na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeiry pamoja na viongozi wengine wa dini, serikali, vyama na watoto wanaolelewa kwenye vituo mbalimbali vya yatima mkoani humo.
Kina mama wakiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Kibaya Mhe. Asumpta Mshama wakichukua chakula wakati wa futari iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kwa wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha ambayo ilihudhuriwa pia na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeiry pamoja na viongozi wengine wa dini, serikali, vyama na watoto wanaolelewa kwenye vituo mbalimbali vya yatima mkoani humo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitoa neno la shukrani leo Jumatano Juni 21, 2017 wa waliohudhuria futari aliyowaandalia wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha ambayo ilihudhuriwa pia na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeiry pamoja na viongozi wengine wa dini, serikali, vyama na watoto wanaolelewa kwenye vituo mbalimbali vya yatima mkoani humo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeiry baada ya kuzungumza machache wakati wa futari aliyowaandalia wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha.
Kaimu Shehe Mkuu wa Mkoa wa Pwani akitoa neno la shukurani kwa futari aliyoandaliwa na Rais Dkt John Pombe Magufuli kwa wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono na Kaimu Shehe Mkuu wa Mkoa wa Pwani baada ya kuzungumza machache wakati wa futari aliyoandaliwa na Rais Dkt John Pombe Magufuli kwa wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha
Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeiry akizungumza machache na kuomba dua baada ya futari iliyoandaliwa na Rais Dkt John Pombe Magufuli kwa wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha.
Sehemu ya waalikwa wakiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeiry baada ya futari iliyoandaliwa na Rais Dkt John Pombe Magufuli kwa wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akizunguka meza hadi meza kupeana mikono na waalikwa katika futari aliyowaandalia wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono na Mbunge wa Kibaha Mjini Mhe Sylvester Koka baada futari aliyowaandalia wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono na Mbunge wa Chalinze Mhe Ridhiwani Kikwete baada futari aliyowaandalia wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono na Mbunge wa Kibaha Vijijini Mhe Hamoud Juma baada futari aliyowaandalia wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na wageni wake baada futari aliyowaandalia wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Pwani Mzee Mwinshehe Mlai baada futari aliyowaandalia wananchi wa mkoa wa Pwani katika Ikulu ndogo ya Kibaha.
No comments:
Post a Comment