Friday 2 June 2017

David Beckham na familia yake kwenye mbuga za wanyama Tanzania….



 Staa wa zamani wa Manchester United, Real Madrid na England David Beckham amekuja Tanzania kwa ajili ya mapumziko ambapo atatembelea vivutio mbalimbali vya Utalii, hizi ni baadhi ya picha zikimuonyesha akiwa na familia yake kwenye Mbuga ya Serengeti.


 


No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!