Wednesday, 14 June 2017
Ajiua kwa madai ya ugumu wa maisha
Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Saada elias wa Mtaa wa Mabambase Manispaa ya Shinyanga, amefariki dunia kwa kujikata koromeo kwa chupa ya soda. Mwanamke huyo alijiua kwa chupa ikiwa muda mfupi baada ya kunyang’anywa kisu wakati akijaribu kujichinja, kwa madai ya kuandamwa na ugumu wa maisha.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment