skip to main |
skip to sidebar
Vitambulisho vimeokotwa
Vitambulisho kwa anayetambulika kama Sarah Nanyaro vimeokotwa na kuletwa Itv, kwa anayemfahamu amjulishe, afike ofisi za Itv Mikocheni kuvichukua akiwa na vilelezo kuthibitisha ni vyake ikiwemo RB toka polisi
No comments:
Post a Comment