Monday, 15 May 2017

TANZANIA VS MALI FT 0-0

GABON: Timu ya soka ya Tanzania chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys imetoka sare ya bila kufungana na timu ya Mali.

Mali ni bingwa mtetezi wa michuano hiyo ya Afrika kwa vijana.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!