Kuna staili za nywele zinazopendeza vijana na hizi zinazoendana na umri wa kuanzia 30 kwenda juu, unataka ukae ki Lady zaidi, na Si kisichana, moja ya staili ya nywele fupi za kukufanya uonekane mwanamke unaekwenda na wakati ni kama hizi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment