Wednesday, 10 May 2017

Saba wafariki kwa mafuriko Tanga

Image may contain: outdoor and nature
Watu saba wamekufa huku nyumba zaidi ya 100 zikisombwa na mafuriko na kusababisha watu zaidi ya 300 kukosa makazi katika kata ya Mkubara wilayani Korogwe mkoani Tanga.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!