Thursday, 11 May 2017

Njia kuu 9 za kupunguza stress.

1. Zima vifaa vyako vyote vya kielektronia. Mfano Simu, Laptop, Ipad n.k

2. Vuta pumzi ndefu (Breathe deeply)

3. Lala kidogo.




4. Kunywa kikombe cha chai.

5. Tembea kidogo ktk sehemu za asali. Mfano Miti, maua n.k



6. Jinyooshe nyooshe.

7. Pata dakika 10 za kutafakari. 

8. Nunua kitabu chenye michora ambayo aijapakwa rangi na uwe unakipaka rangi wakati wa stress. (coloring book).

9. Nenda beach/Ufukweni ukasikilize sauti za mawimbi



CRD: Teamheaven.com

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!