Wednesday, 10 May 2017

Neno moja kwa Watalii hawa kutoka Marekani.

Image may contain: 2 people, people standing and outdoor
Watalii hawa ambao pia ni madaktari waliowasaidia wanafunzi wa Lucky Vicent walivyopata ajali wameahidi kuwasaidia majeruhi waliopo hospital kuwapatia msaada wa kutosha na hata ikihitajika kuwapeleka nje ya nchi kama msaada huo utahitajika.

1 comment:

Unknown said...

Asante kwa huduma na kujitoa kwao.

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!