Wednesday, 10 May 2017

Mambo ya kujiuliza iwapo mtoto wako anakataa kula

Image may contain: candles and drink
Mama huwa anapata stress pale mtoto anapikataa kabsa kula chakula hata umpikie nini?
Wengi wanashindwa kuelewa tatizo ni nini? Wanakosea wapi mbona kila kitu nampa na hataki kula bado!
Jiulize kwa nini hataki kula huenda


1:Unampa chakula bila ratiba kusubiri masaa 3-4 yapite chakula kusagwe vizuri .La sivyo tumbo linakuwa bado limeja.
2: Unampa vitu vya sukari kwa wingi vinamsababishia kutoa appetite yote ya kula ,Juice kwa wingi soda kabla ya mlo? Pipi ,ice cream ,cake nk
3: Anaupungufu wa madini ya Zinki mwili ndio inampelekea kukosa hamu ya kula
4:Una mpa maji mengi au maxiwa au juice kabla ya mlo tumbo linakuwa linamjaa!
5: Au ana minyoo bila wewe kujua?
6: Anavidonda mdomoni wewe hujui au meno yanataka kuota sasa ufizi umevimba unampelekea kukosa hamu ya kula
7:Unampikia vyakula hivyo hivyo kila siku vina mchosha
8: Ametoka kuuwa na kupoteza hamu ya kula? Sasa hizi ni baadhi ya sababu zinazomfanya mtoto kukutaa kula ! Ukiona kagoma mlo jiulize hiyo 

SHUKRAN KWA AFYA YA MTOTO.COM

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!