
April 16 2016 Rais John Pombe Magufuli alifanya uzinduzi wa barabara ya juu ‘Flyover’ Dar es salaam barabara inayotarajiwa kuanza kufanya kazi mwaka 2018.













Kushoto ni Barabara ya kuelekea Buguruni, Kulia kuelekea K/Koo

Barabara kuelekea K/Koo

Barabara kuelekea Gongo La Mboto

Barabara kuelekea Gongo La Mboto

Barabara kuelekea K/Koo

Mataa Tazara
Picha kwa Hisani ya MillardAyo.com
No comments:
Post a Comment