Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkuu wa Mkoa wa
Dodoma Jordan Rugimbana mara baada ya kuwasili mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mara baada ya
kuwasili mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Spika wa Bunge la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai mara baada ya kuwasili mkoani
Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa
Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi Abdallah Bulembo mara baada ya
kuwasili mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaini kitabu cha Wageni mara
baada ya kuwasili mkoani Dodoma. Pembeni yake ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Job Ndugai.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa pamoja na
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai mara baada ya
kuwasili katika uwanja wa ndege wa Dodoma. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment