Friday, 7 April 2017

MIAKA MITANO TANGU KIFO CHA STEVEN KANUMBA

Image result
 Leo ni kumbukumbu ya miaka mitano ya kifo cha aliyekuwa kinara wa sanaa ya maigizo na filamu, Steven Charles Kanumba. Nyota huyo alizaliwa mnamo mwaka 1984 na kufariki Dunia tarehe kama ya leo mwaka 2012.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!