Thursday 23 March 2017

TUWAKUMBUKE!


KUMBUKUMBU: Siku kama ya leo miaka 6 iliyopita wasanii 13 wa kundi la muziki la Five Star’s Modern Taarab walifariki katika ajali ambayo pia ilijeruhi na wengine saba.



No automatic alt text available.
- Ajali hiyo ilitokea mkoani Morogoro majira ya saa 2.30 usiku, ndani ya eneo la hifadhi ya taifa ya Mikumi.



No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!