Thursday, 2 March 2017
Ridhwani Kikwete- Mungu akutangulie mama yangu
Umekuwa mtetea wa haki za wanawake na usawa wa kijinsia, umewezesha wasichana kupata elimu.Wewe ni Mwanamke wa Shoka.Hongera sana kwa uteuzi. Imani sasa umepata sehemu ya kuwezesha mapambano kuwa sheria. Mungu akutangulie Mama yangu , Mheshimiwa Mbunge. Hongera tena.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment