Friday, 3 March 2017

NIMEUPENDA HUU UJUMBE, UKIUSOMA UKUSAIDIE POPOTE ULIPO

Image result for lazy person
Kauli 17 za mtu asiye na malengo wala uthubutu*

1)Sina mtaji
2)Sina Connection
3)Nitaanza rasmi kesho 4)Mimi ni wa hivihivi tu
5)Mifumo mibovu ya Serikali ndiyo inayonirudisha nyuma
6) Mke/mme/ndugu zangu Ndiyo walioniangusha/kunitenda/kikwazo
7)Kupata ni majaliwa 8)Usilazimishe mambo
9)Kuna watu special siyo mimi.
10)Sina bahati
11) kupata si uhodari nami nitapata tu.
12) Mimi ni fungu la kukosa tu.
13) muda wangu bado nitapata tu
14) mungu hajapanga hata vidole mkononi havilingani.
15) wapo waliopangiwa sisi wasindikizaji
16) Familia yetu hakuna tajiri nianze mimi?
17) hata wanaotafuta mbona wapo vilevile...fulani namjua mbona yupo tu kama mimi au namzidi. *KAA MBALI NA HUYO MTU. NI HATARI KWA NDOTO ZAKO!!!!*

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!