Friday, 24 February 2017

Msanii Wema Sepetu ajiunga na CHADEMA kutoka CCM.

wema1.jpg
Msanii Wema Sepetu ajiunga na CHADEMA kutoka CCM. Amesema kuwa kilichotokea kwake ni uonevu na kimemvunja moyo kama Mwanachama.
- Amedai anaamini CHADEMA kinapigania demokrasia ambayo imeanza kupotea nchini na anajilaumu kuchelewa kuchukua hatua hiyo.




25f29bbc-49b1-4927-9fa7-66c068932e15.jpg
Wema Last.jpg

wema3.jpg



No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!