Friday, 20 January 2017

Zari awasihi watakaohudhuria 40 ya Mtoto wasivae Madera wala Sare

Diamond Platnum na mpenzi wake Zari wanategemea kufanya arobaini ya mtoto wao wa pili aitwae Prince Nillan January 28 2017 Dar es salaam ikiwa ni baada ya kubadilisha na kuamua kuifanyia Tanzania na sio South Africa kama ilivyokua mwanzo.

Zari alithibitisha hivyo kupitia ukurasa wake wa Snapchat na pia akawasihi watakaohudhuria kwenye shughuli hiyo wasivae madera wala sare.


No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!