Monday, 30 January 2017

Wengi wakasilishwa na Kitendo cha Iyobo kumwita harmorapa Nyani





Thomas Sina · 
yeye kuna kipindi alikasirika mwanae cookie kusemwa vibaya na kufananishwa na viumbe hayawani, iyobo omba msamaha kwa harmorapa na kwa Mungu pia. halafu sio vizuri kuwakatisha tamaa wasanii wachanga wapeni moyo


Dickanza Mwaya · 
Works at Self-Employed
Pongezi kwa harmo rapa Umejibu vizuri..... Kaka piga kazi Allah atakujalia ipo Siku atakata viuno kwenye show yako....... Ubaguzi huu sio wa kufumbiwa macho au akisema mzungu ndio tunatambua Kuwa ubaguzi?


LikeReply36 hrs
Sabato Alfaxad
Binadamu yeyote hasitaili kuitwa nyani binadamu tuliumbwa na kwa mfano na kwa sura ya Mungu,kama lyobo anawaita binadamu wenzake kuwa ni nyani tena mwafrika kama yeye je!wazungu wamuiteje yeye lyoba?.Nyani huzaa nyani binadamu huzaa binadamu.Lyoba tafadhari soma biblia sura ya kwanza yote ktk kitabu cha mwanzo.hujamkosea binadamu tu ila kwanza umemkosea Mungu,omba msamaha usamehewe


LikeReply520 hrs
Elvis Paul · 
Dunia Maputo Jama,
Hakuna aijuae kesho yake,
Kabla ujadead ujabiicreated,
Yeye Iyobo ni Mungu????
Ujaumba Iyobo!!!!!!
Rekebisha kjana!!!!!
LikeReply320 hrs
Mdinda Oscar · 
Mmmmh... Makubwa.. Iyobo mwenyewe sura.. Mbayaa.. Achukue kiooo ajiangalie kwanza
LikeReply215 hrs
Evarist Joseph · 
iyobo we menyewe unasurambaya ujioni mshukulu daimondi
LikeReply28 hrs
Hidaya Saidi · 
Kweli hujafa hujaumbika
LikeReply221 hrs
Noah Finunu Mwakyoma · 
Iyobo ni nani kwa Harmonizer??
Mke humtetea mume
na
Mume humtetea mke
Iyobo je???
HAUJAFA HAUJAUMBIKA=USITUKANE MAMBA UKIWA HAUJAVUKA MTO.
LikeReply18 hrs
Monica Cossy · 
Dogo kanena maneno mazito plz Iyobo rekebisha kauli yako
LikeReply118 hrs
Tiki Msangi · 
Iyobo inabidi na ww ujiangalie kwenye kioo sioni tofauti na maneno yako ww ndo sokwe pori
LikeReply122 hrs
Yombo Kiwalani
Nafikiri hilo Iyobo lenyewe ndio limefanana na Nyani kuliko huyo mwenzake
Jacqueline Modest · 
yani we iyobo mungu anakuona sio vzr kbs
LikeReply4 hrs
Thomas Josephat · 
Works at Student
Dah! Kabla hujamtuc mwenzako hebu jitazame na wew
LikeReply20 hrs
Abasi Wa Iddi HB · 
Anamkosoa mungu mundu ndie atamuadhibu

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!