Tuesday, 17 January 2017

JAYDEE



WATU WANAOGOPA SWALA LA KWENDA KUANZA MAISHA UPYA, LAKINI WANASAHAU FURAHA YAO, WANASAHAU THAMANI YA UTU NA MAISHA YAO" -


"NILIAMUA SITAKI KUKAA KWENYE RELATIONSHIP AMBAYO HAINA FAIDA KWANGU NA WALA SINA FURAHA NAYO..
NILIJIPA KIPAUMBELE MIMI KAMA MIMI, NIKAAMUA KUJIPENDA, NIKAAMUA KUJIINUA, NIKAENDA KUANZA MAISHA MIMI KAMA MIMI"
@jidejaydee

1 comment:

Anonymous said...

Milambo Malumbo7:03 AM




Safi san

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!