Monday 9 January 2017

Hii Haikubaliki hata kidogo, ni unyama gani huu?


Sheria ichukue mkondo wake na wahusika wakamatwe mara moja, ni Uonevu na udhalilishaji wa hali ya juu, Ni Mila gani za kuwanyanyasa wanawake kiasi hiki? Hizi mila nyingine hazina faida yeyote bali ni unyanyasaji wa hali ya juu! Nimeumia sana kiukweli!! Kweli Tanzania bado tuna Mila za kishenzi kama hizi?

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!