Wednesday 11 January 2017

Diamond akabidhiwa bendera ya Tanzania

Diamondplatnumz amekabidhiwa bendera ya Tanzania na waziri wa habari sanaa na michezo mh Nape nnauye ili kuwakilisha Tanzania ktk mashindano ya AFCON2017 nchini Gabon ambapo atatumbuiza ktk ufunguzi wa mechi ya michuano.




No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!