Muimbaji huyo maarufu amefariki akiwa Abidjan, Ivory Coast.
Alikuwa yupo nchini humo kutumbuiza kwenye tamasha la muziki la Anoumabo (FEMUA)
Redio ya Kongo, Radio Okapi imetangaza taarifa za kifo chake.
Amefariki akiwa na umri wa miaka 66.
Kesi ya ‘Scorpion’ mtoboa macho yapelekwa Okt 19 mwaka huu
Kesi ya Salum Henjewele (34) maarufu kama Scorpion imehairishwa hadi Okt 19 mwaka huu.
Mbele ya hakimu mkazi, Adelf Sachore kwa kuongozwa na wakili wa Serikali Munde Kalombola, Scorpion alituhumiwa kufanya unyang’anyi kwa kutumia silaha na kumsababishia upofu wa kudumu,Said Mrisho kwa kumtoboa macho.
Kadhalika Scorpion anadaiwa kumfanyia kitendo cha unyama Said Mrisho kwa kumchoma choma sehemu mbalimbali za mwili wake ikiwemo machoni, mabegani na tumboni ili kurahisisha kupata mali hizo.
Kwa mujibu wa hati ya mashtaka ya shauri hilo namba 276 ya mwaka 2016, ilitajwa kwa mara ya kwanza Sept 28, mwaka huu. Hata hivyo mshtakiwa huyo jana alionekana kuwa asiye na wasiwasi huku akitabasamu muda wote.
MGOMBEA URAIS WA MAREKANI, DONARD TRUMP ASHINDA UCHAGUZI
Rais Mteule wa Marekani, Donard Trump akiwahutubia wananchi wa Marekani muda mfupi baada ya kutangazwa mshindi wa kiti hicho, mapema leo. Trump anakuwa Rais wa 45 wa nchi hiyo akitokea chama cha Republican. Kulia kwake ni aliekuwa mgombea mwenza wake, Mike Pence na kushoto kwake ni Mtoto wake, Barron Trump.
No comments:
Post a Comment