Saturday, 10 December 2016

KAMA MNATAKA MALI MTAIPATA SHAMBANI


Mzee moja aliwaita wanawe akawaambia wanangu mie nimeita kuwaaga na ikitokea nimetangulia mbele ya haki basi mkishanizika na kumaliza taratibu zote mbomoe hii nyumba yangu kwani chini yake nimefukia mali nyingi sana.



Ilipofika usiku mzee akatangulia mbele ya haki,baada ya kumaliza taratibu za maziko basi wakaanza zoezi la kubomoa nyuma kama walivyoagizwa na mzee wao,chini ya msingi wakakuta karatasi imeandikwa''HAMKUNISAIDIA WAKATI NILIHITAJI MSAADA WENU LAKINI MLITEGEMEA KURITHI NYUMBA YANGU SASA KAMA NYIE NI VIDUME KWELI JENGENI NYUMBA YENU,YANGU NIMEONDOKA NAYO'' Hapo vipiii??????

1 comment:

Unknown said...
This comment has been removed by a blog administrator.
 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!