Friday 23 December 2016

Dina Marios!

Image may contain: 1 person, standing, shoes and outdoor

Mwaka 2016 Haijalishi umepigwaje ila pamoja na kipigo ulichokipata na bado ukawa na nguvu ya kusimama na kutembea....tena kwa madaha.

Ushindi huja ukiijua THAMANI yako.
Ushindi huja ukiijua nguvu yako.
Ushindi huja ukiamua kushinda.
Ushindi huja ukiwa mnyenyekevu.
Ushindi huja ukiamua kuwa MTULIVU.
Tembea duniani bila uoga na usiseme sijafanikiwa sababu fulani alinikatili,sijafanikiwa sababu fulani alinidhulumu,sijafanikiwa sababu fulani aliniharibia deal zangu,sijafanikiwa sababu fulani alinibania,usiseme hujafanikisha sababu ya FULANI....waoga ndio hufanya ujinga huo....na wewe ni zaidi ya wajinga hao.Hakuna wa kukuzuia pamoja na ushenzi wa watu walioamua kukukwamisha kumbuka your unstoppable,wa kukuzuia ni wewe mwenyewe na si Mtu.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!