Mbunge wa jimbo la Dimani (CCM) Zanzibar Hafidh Ali Tahir amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Hospitalini Dodoma na kisha mwili wake kuagwa kwa kupewa heshima ya bunge asubuhi ambapo viongozi mbalimbali wa serikali na bunge walishiriki kabla ya kuusafirisha kwenda Zanzibar, unaweza kutazama kwenye hii video hapa chini
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment