Growing up kuna vitu vingi nilikuwa na vipitia mpaka nikawa na amini nina DAMU YA KUNGUNI,nina bahati mbaya watu hunichukia tu bila sababu au kunipinga.
Toka nikiwa mdogo nakumbuka fights nilizopigana kujipigania...kupendwa au kukubalika na watu walionizunguka.
Toka nikiwa mdogo nakumbuka fights nilizopigana kujipigania...kupendwa au kukubalika na watu walionizunguka.
Katika umri mdogo sana wenzangu walikuwa wanatengeneza makundi ya kunipinga ya kunichoresha.Nakumbuka nikiwa darasa la kwanza kuna mtoto niliharibu zipu ya bag yake.Mimi sina taarifa kumbe kashatangaza tukitoka saa tano kuna ngumi/ndundi lazima nipigwe.Darasa zima linajua siku hiyo lazima nichapwe.Basi tumetoka tunatembea kurudi nyumbani nashangaa umati unanifata kashaandaa watu wakumshangilia mara yule mtoto akatokea akaanza kunichokoza anaipiga mateke nakumbuka mvua ilikuwa inanyesha yeye kavaa boots mie nimevaa chachacha.Basi mie kimyaa natembea hapo anatafuta ujiko watoto wananizomea wee ninachokumbuka ni kelele alizokuwa anapiga huku damu zinamtoka mdomoni...nimempasua!
Kesho yake shuleni kukawa na heshima kidogo.
Matukio kama hayo yalinitokea sana.Watu wanaunda story,matukio,kusingiziwa vitu,makundi ya kuwa against wewe wakati wote huo niliamini nina DAMU YA KUNGUNI NINA BAHATI MBAYA.
Unapambana kukubalika na kupendwa.Lakini ninachokumbuka sikuwahi kuwa mnyonge wala muoga nilikuwa na Confidence.
Hata nimekuwa mkubwa nipo kazini ikawa inaendelea tu.Watu wanacheka na wewe usoni lakini wanavijiwe maalum wanakaa kukusema na kukukandia na kupakaza.Watu wakisema fulani tunampenda aaah hamumjui yule ana roho mbaya ya kihaya mtu mbaya sana yule.
Nilichojifunza hakuna DAMU YA KUNGUNI ni kwamba mimi ni wakipekee.Ndani yangu kuna energy inatoka ambayo watu ambao sio wa kaliba yangu wanashindwa kuihandle...it's too much.
Wanasema you attract your TRIBE
Wale wanaokupinga wanajua hiyo nguvu...wanaiogopa..inawatisha inabidi wajihami kwa kutaka kukufanya na wewe uamini wewe sio lolote si chochote.
Wakikukuta upo weak ndio unakuwa mnyonge na hiyo haianzi ukubwani inaanza toka mdogo wale wenzako wana kubully. Kuna watoto wabaya wana bad energy wanaanza kukufanya uwe mnyonge toka mdogo.Mimi niliikataa nilikuwa napigana kila siku mambo ya kutaka kushine kupitia mimi.

Ukijitambua na ukaamua kuwa Wewe utajikuta hutumii nguvu nyingi kukubalika.Ukijiamini na watu wanakuamini.Kwa jinsi nilivyojitambua hata kufanya kazi na mimi lazima uwe TOUGH kama upo WEAK huwezi kunihandle sana sana utatafuta vijiwe vya majungu uanze kuyazua.
Mimi ni mkweli,simung'unyi maneno,mimi ni mwalimu always ntakufundisha,na imetokea toka hukoo shule ya msingi nina karama ya uongozi hadi leo.Kama sipendi jambo nitakwambia,ukifanya vizuri nitakwambia.Kama my energy is too much for you utaanza vita ya chini chini against mimi....coz your weak!

Mimi hutanikuta nikiwa mpambe wa mtu au watu.Nijipendekeze pendekeze ili ni Shine au nifanikishe mambo yangu.Nina amini uwezo wangu na kipaji changu I don't need kuwa mpambe wa mtu ili mambo yangu yaende.
Ninachokumbuka sikufundishwa na mtu kujipigania nilijifunza mwenyewe I had no one...Hata wa kuniambia nakupenda.There is a soulder in me nimepambana...nitapambana na nitashinda kila siku.
Kwa sisi wazazi tunajukumu kubwa kuwajenga watoto wetu katika KUJIAMINI.We need to raise soldiers... wajiamini ni watoto wa kipekee watoto wa Mungu na wasiruhusu mtu akawaambia vinginevyo.Waambie unawapenda,waambie wanaweza kuwa watu wakubwa duniani watolee mifano ya watu wanaowapenda mfano mama,baba,Lionel Messi,Dina Marios n.k
Mwambie yeye ni mzuri,mwambie yeye ni kijana matata sana....mkumbatie na kumbusu...kuza vipawa vyake.
Dunia ni ngumu sana kama tutashindwa kujenga watoto na vijana wenye KUJIAMINI.Kuamini hisia zao,vipaji vyao,imani yao,muonekano wao,mawazo yao na uwezo wao.
Ndio maana leo tuna watu waliojibadili muonekano,tuna watu wanakaa uchi humu mitandaoni yoote ni kutafuta kukubalika,kuonekana,kujulikana...
hawajui thamani yao.Ukirudi kuchimba utakuta kuna sababu toka utotoni....hawakupata mapenzi,no one told them their special....hawakujiamini wametafuta njia zao.

No comments:
Post a Comment