Stevie Wonder ameyasema hayo alipokuwa akihojiwa na mwandishi wa habari wa Phyll.com, mara baada ya konseti ya kumuunga mkono mgombea urais wa Chama cha Demokrati nchini humo.
Asilimia kubwa ya mastaa wa Marekani akiwemo Stevie Wonder na wengine kama akina bruce springsted, Bon Jovi, Lady Gaga wameonyesha kumuunga mkono pia mgombea huyo wa chama cha Demokrat Bi Hillary Clinton. leo jumanne tarehe 8 November ndio siku ambayo Raia wa marekani watapiga kura kumpata Rais atayeongoza Marekani ,baada ya Rais Obama kumaliza muda wake.
No comments:
Post a Comment